Mnara Wawaka Moto Mnara Wawaka Moto
Price Ksh.: 400.00
Price US$.: 0.00
ISBN: 9966 846 39 5

Add to Cart
Tamthilia hii ni ya kimapisi. Mambo yanayosimuliwa katika hadithi yalitukia kweli baina ya karne za 16 na 17. Hivyo basi baadhi ya wahusika kama vile Mfalme Hassan, Muhammad, Munganaja, Makapteni Perreira na Simao, Antonio da Cunha, Malkia wa Mombasa na Yusuf bin Hassan waliishi kikwelikweli. Hata hivyo katika tamthilia hii, harakati zao na maneno yao ni ubunifu tu, sababu mwandishi hakuishi wakati huo, wala hakuzishuhudia harakati hizo.
Empty Shopping CartYour Cart is Empty
Login
Email:
Password:
Create an Account
Forgot Password?